YANGA SASA KUELEKEZA NGUVU ZAKE VPL
Klabu ya mpira wa miguu ya Young Africans alimaarufu kama Yanga imesema kupitia benchi lake la ufundi kuwa kilichobakia ni kukazania na kutwaa ubingwa wa Kombe la Vodacom(VPL) baada ya kuondolewa katika mashindano mengine yote iliyokuwa ikishiriki. Yanga ilikuwa katika mashindano ya Klabu bingwa Afrika(Africa Champions league) ikaondolewa na Zanaco FC baada ya kuruhusu sare ya 1-1 Katika uwanja wa taifa,na kuhamia katika kombe la shirikisho Afrika(Africa Confederation Cup) pia kuondolewa na klabu ya MC Alger ya Algeria kwa jumla ya mabao 4-1 na kuhamia katika mashindano mawili ya Tanzania Bara ambayo ni FA Cup na Kombe laVodacom ambapo pia klabu ya Yanga iliondolewa katika madhindano hayo katika hatua ya nusu fainali na Klabu ya Mbao baada ya kipigo cha goli 1-0 katika uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza Yanga sasa imebaki katika kinyang'anilo kimoja tuu yaani Kombe la Vodacom(VPL),Yanga ipo katika nafasi ya pili ikiwa na pointi 56 ikiwa imecheza jumla ya michezo 25 wakati watani wao wa